Mashindano ya Jamii
Angalia mashindano yote mahali pamoja. Kila kadi inaonyesha wazi kama mashindano yako wazi, yanaendelea, yamekamilika, au yamefutwa.
Tzdraft league (testing)
karibu kwenye mfumo a mashindano ya ligi , ligi hii itatumika kama mpango wa majaribia , kila alie weza kujisajili ataweza kushiriki
Single Elimination
4/8
26 Apr 2026, 06:41
Tzdraft league
karibu kwenye mfumo a mashindano ya ligi , ligi hii itatumika kama mpango wa majaribia , kila alie weza kujisajili ataweza kushiriki
Round Robin
4/8
10 Apr 2026, 10:00
Tzdraft Opening 05/04/2026
Mashindano haya yanafunguliwa kwa wachezaji waliodhibitisha uwezo wao Ni mfumo wa Single Elimination — kila mechi ina uzito, kupoteza mara moja kunaweza kukutoa nje. Wachezaji wanapangwa kulingana na ELO yao wakati wa usajili. Wenye ELO za juu hupangwa na wenye viwango vta chini. Kila mechi zitakuwa 3 na kama mtatoa draw mtapiga limboti.Rangi zitabadilika kutoka na uchaguzi wa komputa bila upendoleo.Kila mchezaji ananafasi ya kuchezo BLACK au WHITE Usajili unafungwa wakati wa kuanza uliopangwa. Mara usajili utakapofungwa, haiwezi kubadilishwa.
Single Elimination
0/32